Kasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 11:
 
==Kipimo cha kasi==
[[Kipimo sanifu cha SI]] kwa kasi ni [[mita]] kwa [[sekunde]] (m/s).

Kwa miendo ya kila [[siku]], hasa ya [[vyombo vya usafiri]], kipimo cha kawaida ni km/h.
 
Katika nchi zinazotumia kipimo cha [[maili]] kuna pia maili kwa saa.