Kupika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Kupika''' ni mchakato wa kuandaa [[chakula]] ili kiliwe. Mahali ambapo [[watu]] wanafanya hivyo ni [[jikoni]], nao wanaitwa [[mpishi|wapishi]].
 
[[Joto]] linaweza kufanywa kwa [[moto]] kwa kutumia [[kuni]], [[mkaa]], [[nishati ya jua]] au kwa [[jiko]] la kutumia [[umeme]].
 
[[Tanuri]] ni sehemu ya jiko ambalo ni kama [[sanduku]]. Watu hujenga sehemu hizo kwa kutumia [[matofali]] au [[udongo]].