Wali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12:
 
==Upishi==
Kuna njia mbalimbali za kupika wali. Mara nyingi hupikwa katika [[maji]]. Wapishi hupima [[kikombe]] kimoja cha mpunga na vikombe viwili vya [[maji]] na kupika hadi maji yamekwisha, hapo basi wali umeiva. Wengine hupendelea kuonja mara kwa mara mpaka wameridhika. Kuna pia [[sufuria]] za [[umeme]] maalum hasa kwa upishi wa wali. <ref>[https://kitchenlola.com/best-rice-cooker/ Aina ya sufuria za kupika wali]</ref>
 
 
Katika nchi kama [[Hispania]] mpunga kwanza hukaangwa katika [[mafuta]] na maji huongezwa baadaye.
 
Watu wengine wanapendelea kutumia [[supu]] badala ya maji kwa kuongeza [[utamu]] wa wali. Wengine hutumia pia [[
tui la nazi]].
 
Aina mbalimbali za mpunga huleta vyakula tofauti. kuna wali unaotokea laini sana na aina nyingine unatokea imara zaidi.
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
 
==Viungo vya nje==
*[https://foodsfromafrica.com/east-african-coconut-curry-rice/ Mapishi Afrika Mashariki ya wali wa nazi]
 
{{mbegu}}