Tofauti kati ya marekesbisho "Wazigula"

224 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
 
'''Wazigula''' (au '''Wazigua''') ni [[kabila]] la [[watu]] kutoka eneo karibu na [[Bahari Hindi]] baina ya [[Dar es Salaam]] na [[Tanga]], nchini [[Tanzania]]. Baadhi ya kabila ya Wazigula wanapatikana [[kusini]] mwa [[Somalia]],
 
[[Mwaka]] [[1993]] [[idadi]] ya Wazigula ilikadiriwa kuwa 355,000 <ref>[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=ziw]</ref>.
 
[[Lugha]] yao ni [[Kizigula]], ya jamii ya [[lugha za Kibantu]].
 
== Asili, mila na desturi ==
Wazigua ni mojawapo wa makabila ya asili ya [[mkoa wa Tanga]]. Wazigua ambao lugha yao ni ya jamii ya lugha za kibantu yasemekana wamekuwepo mkoani [[Tanga]], [[wilaya ya Handeni]] kwa [[karne]] nyingi zilizopita.
 
Maana ya Zigua ni kuchukua au ukamatakukamata eneo. Miaka mingi iliyopita Wazigua walipigana [[vita]] na kuyashinda makabila ya [[Wabondei]] na [[Wasambaa]]. Makabila hayo yaliyoshindwa vita yalikimbiliiayalikimbilia maeneo ya mabondeni na mengine kusambaa milimani, Wabondei huko Mabondeni, na Wasambaa walisambalia [[milima ya Usambara]]. Na ndioNdio chanzo cha majina ya makabila haya, kwani kabla ya hapo walikuwa wakiishi pamoja kama koo za jamii moja iliyojulikana kwa jina la Boshazi maana yake Bondei, Zigua, Sambaa.
walikuwa wakiishi pamoja kama koo za jamii moja. Na walijulikana kwa jina la Boshazi maana yake Bondei, Zigua, Sambaa.
 
Unaweza kumtambua m-boshaziMboshazi kwa jina lake; kwa mfano mziguaMzigua Samamboe, Sakuzindwa, Sannenkondo, Sankanakono, Samboni, Shundi, Butu, Sebbo, Chamdoma nkn.k. Kuzungumza kwao huvuta maneno, mfano wa kusalimiana, Ahooni niheedi hanginyuwe, nkn.k.
== Kumtambua m-Boshazi ==
Unaweza kumtambua m-boshazi kwa jina lake kwa mfano mzigua Samamboe, Sakuzindwa, Sannenkondo, Sankanakono,Samboni, Shundi, Butu,Sebbo, Chamdoma nk. Kuzungumza kwao huvuta maneno, mfano wa kusalimiana, Ahooni niheedi hanginyuwe, nk.
 
Msambaa utamtambua kwa jina lake, mfano Shekimweli, Sherukindo, Shekiondo, Shekazi, Shemndorwa, nkn.k. Hawa wote ni wasambaaWasambaa na hutamka maneno yao ulimini, kwa mfano, tinakwenda, titarudi, titaonana kesho, nkn.k.
 
Wilaya ya Handeni pia kuna makabila mbalimbali kamaKatika [[Wakilindikarne]], ya [[Wanguusayansi]], na [[Wasambaateknolojia]]. Katika karne hii ya sayansi na tekinolojia, na kutokana na [[utandawazi]], makabila mengi ya kiafrikaKiafrika yamekubwayamekumbwa na mabadiliko yasioepukika katika [[mila]] na [[desturi]] zao.
 
Mila ya kutahiri[[Ukeketaji|kukeketa]] [[wanawake]] imekuwa ikipigwa marufuku na [[serikali]] mbalimbali za ulimwenguni kuwa ni kinyume cha [[haki za binaadamubinadamu]], hivyo basi kuna mila ambazo zinakomeshwa na serikali za nchi na nyingine zinapotea zenyewe taratibu, kutokana na kubadilika kwa hali ya [[maisha]], hivyo, ili kutunza mambo haya yasije kusahaulika ni vyema kuweka kumbukumbu ya asili zetu. Tumetumbukia katika masuala ya utandawazi kiasi ambacho tunashindwa hata kutambua miiko yetu auili asilikuwarithisha zetuwatoto, kwawajukuu, kwelivitukuu niau mambovizazi yavijavyo kusikitisha sana si ajabu kwetu sisi wazee tutakapoondoka basi haya nayokwa yatapoteaujumla.
 
Katika kabila la Wazigua, kutoa majina kwa watoto wanaozaliwa huzingatia wakati, mahali, na mahusiano. Kila mziguaMzigua lazima awe na jina la asili na la kidini, mfano Andrew Kizenga Shundi jina lake la asili anaitwa Chamdoma (dyauta netangwa Chamdoma, Dyamwale),. kiasiliKiasili majina hutolewa wakati mtu anapozaliwa (Chamdoma), Dyamwale anapotoka [[Tohara|kutahiriwa na]], kuchezewa [[ngoma]] na kukabidhiwa [[upinde]], na hivyo hupewa jina na kuwa [[kijana]] wa kiziguaKizigua aliyefikia [[utu uzima]]. Anapooa huitwa Samachau, na anaeolewa Wanamachau.
Mimi kama mzigua ningependa kuandika haya na kujaribu kukumbuka mambo ya kiasili ya “Kizigua” kwa yale ambayo nayafahamu na nisiyo yafahamu nitafurahi na kushukuru sana endapo nitakosolewa na kupewa mwelekezo wa kizigua nami niweze kuwarithisha watoto, wajukuu, vitukuu au vizazi vyangu kwa ujumla.
 
Idizina bya Ngasu netangwa Samachau ni jina apewalo mtu mzima aliepataaliyepata [[mchumba]] na kuoa. Wazigula hupewa jina litakalo tumikalitakalotumika wakati na baada ya [[ndoa]], badala ya kuitwa Andrew hivi sasa naitwa Samachau na [[mke]] wangu anaitwa Wanamachau. Hivyo utaona yakuwakuwa “SA” inakwenda kwa mwanaumemwanamume na “WA” inakwenda kwa mama wa watoto.
Katika kabila la Wazigua, kutoa majina kwa watoto wanaozaliwa huzingatia wakati, mahali, na mahusiano. Kila mzigua lazima awe na jina la asili na la kidini, mfano Andrew Kizenga Shundi jina lake la asili anaitwa Chamdoma (dyauta netangwa Chamdoma, Dyamwale), kiasili majina hutolewa wakati mtu anapozaliwa (Chamdoma), Dyamwale anapotoka kutahiriwa na kuchezewa ngoma na kukabidhiwa upinde, na hivyo hupewa jina na kuwa kijana wa kizigua aliyefikia utu uzima. Anapooa huitwa Samachau, na anaeolewa Wanamachau.
 
Kwa maana hiyo baada ya kumaliza tukio la kuoa na kumaliza [[deni]] la mahali[[mahari]] na vihendo (zawadi au vitu vitolewavyo kutoka upande wa muoaji kwenda kwenye familia ya muolewaji) ulivyotakiwa kupeleka ukweni kwa mfano zawadi kama zogoro dya chunji, koti dya sachibwela, ngubula mlomo, kisingisa magutwi, kumwonelahi, Nkn.k.
Idizina bya Ngasu netangwa Samachau ni jina apewalo mtu mzima aliepata mchumba na kuoa. Wazigula hupewa jina litakalo tumika wakati na baada ya ndoa, badala ya kuitwa Andrew hivi sasa naitwa Samachau na mke wangu anaitwa Wanamachau. Hivyo utaona yakuwa “SA” inakwenda kwa mwanaume na “WA” inakwenda kwa mama wa watoto.
 
Mila na desturi za Kizigua, kama zilivyo mila nyingine za kiafrikaKiafrika zina miiko yake, kwa mfano, “HACHIKUNGIGWA“Hachikungigwa KUDYAkudya MBARAmbara UNADYAunadya AUau UNAGONELAunagonela UMKOTAumkota WAwa MBARAmbara wabambuka WABAMBUKA/ WAHOLOMOKAWaholomoka mwili MWILI MJIMA”mjima”. Maana yake, Mzigua hatakiwi kula [[Paa (Bovidae)|paa (mnyama)]].
Kwa maana hiyo baada ya kumaliza tukio la kuoa na kumaliza deni la mahali na vihendo (zawadi au vitu vitolewavyo kutoka upande wa muoaji kwenda kwenye familia ya muolewaji) ulivyotakiwa kupeleka ukweni kwa mfano zawadi kama zogoro dya chunji, koti dya sachibwela, ngubula mlomo, kisingisa magutwi, kumwonelahi, Nk.
 
“KULAGASAMA”“Kulagasama” ni tukio la kuagwa kwa waliooana mara baada ya kukamilisha mahari na taratibu zote za kimila. Katika mila za Kizigua, mtu anapofunga ndoa, yeye na mkewe hutakiwa kukaa katika familia ya mke wake huyo kwa muda fulani ili aweze kukamilisha mahari kama alikuwa hajamaliza. Hivyo kumaliza kulipa mahari na mambo mengine yanayohitajika, huomba ruhusa toka kwa wakwe zake ili akaanzishe maisha yake na mkewe.
Basi hayo mambo ya asili ya kizigua, ambayo kabila hili hujivunia. Wazee wa kizigua kama Marehemu Mzee Gerald Fredrik Kizenga Shundi ambaye ni mzaliwa wa Handeni (Mandela), alikuwa mtoto wa kwanza wa mzee Fedrik Kizenga Shundi na ni mmoja kati ya watoto 8 wa Mzee huyu alizaliwa na [[mama Teresa]], huyu bibi asili yake ilikuwa Vugiri huko Kwa magome. Mzee huyu (Gerald) alikuwa akihimiza vijana kwa wazee kudumisha mila na desturi za kizigua katika uhai wake.
 
Na kamaKama akishindwa kulipa ataendelea kuishi upande wa mkewe kwa maisha yake yote na hata kama akifariki atazikwa upande wa ukweni kama ukoo wa upande wa mume hautamlipia, ila kama wakimlipia watapewa mwili kuzika upande wa mume.
Kwahiyo miji ya asili ya Wazigua wa ukoo wa Shundi na chimbuko la Mzee Gerald Shundi ni Mandela ya Handeni na alikuwa ni wa MWEMNUN’GULI SAMNANDUGWA upande wa Baba yake, ni Chiva na Nunguli ni upande wa mama mwanae Andrew Kizenga Shundi, asili yake ni Pongwe ya KIDELEKO kama unakwenda Kwa Magome.
 
Wazigua wana ngoma nyingi za asili na huchezwa kutokana na wakati na tukio husika, mfano kuna ngoma za wakati wa [[mavuno]], [[harusi]], [[jando]] na msibani,; hujulikana kwa majina ya Mkweso, Machindi, Tukulanga, nkn.k.
Mila na desturi za Kizigua kama zilivyo mila nyingine za kiafrika zina miiko yake kwa mfano, “HACHIKUNGIGWA KUDYA MBARA UNADYA AU UNAGONELA UMKOTA WA MBARA WABAMBUKA/ WAHOLOMOKA MWILI MJIMA” Maana yake Mzigua hatakiwi kula Paa (mnyama).
 
Pia mtoto akishazaliwa hukaa ndani, na baada ya siku 40 hutolewa nje na kupewa jilajina la Lungo. Katika tukio hili la kumtoa mtoto nje, mtoto hupakwa [[unga]] na kunyolewa [[nywele]] zake za utotoni na [[bibi]] yake na mtoto ambaye mara nyingi huwa ni mama wa baba yake na mtoto.
“KULAGASAMA” ni tukio la kuagwa kwa waliooana mara baada ya kukamilisha mahari na taratibu zote za kimila. Katika mila za Kizigua, mtu anapofunga ndoa, yeye na mkewe hutakiwa kukaa katika familia ya mke wake huyo kwa muda fulani ili aweze kukamilisha mahari kama alikuwa hajamaliza. Hivyo kumaliza kulipa mahari na mambo mengine yanayohitajika, huomba ruhusa toka kwa wakwe zake ili akaanzishe maisha yake na mkewe.
 
[[Vyakula]] vya asili vinavyopendelewa kuliwa na waziguaWazigua ni [[ugali]] unaopikwa kutokana na unga wa [[mahindi]] yaliyokobolewa na kuvundikwa kwa muda mrefu kabla ya kusagwa au kutwangwa. Baada ya kysagwakusagwa hutoa unga mweupe na laini sana. Ugali huliwa na [[mboga]] za asili kama vile, Kungujulu, Sunga, Kididi, Mnavu, nyama za pori na [[uyoga]].
Na kama akishindwa kulipa ataendelea kuishi upande wa mkewe kwa maisha yake yote na hata kama akifariki atazikwa upande wa ukweni kama ukoo wa upande wa mume hautamlipia, kama wakimlipia watapewa mwili kuzika upande wa mume.
 
==Uhusiano na Wazulu==
Wazigua wana ngoma nyingi za asili na huchezwa kutokana na wakati na tukio husika, mfano kuna ngoma za wakati mavuno, harusi, jando na msibani, hujulikana kwa majina ya Mkweso, Machindi, Tukulanga, nk.
Katika [[hadithi]] za kale za Wazigua yasemekana kwamba hapo kale katika Uzigua, uliopo leo Tanzania, kulikuwa na [[familia]] ya [[wawindaji]] yenye [[watoto]] watatu: Zulu, [[dada]] yake na [[kaka]] yake. Katika harakati za uwindaji kaka yake Zulu aliuawa na [[nyati]], hivyo Zulu alibaki na dada yake tu. Kulitokea [[ukame]] mkubwa, hivyo Zulu alikuwa akihamahama mpaka akafika eneo moja la [[Afrika ya Kusini]] na kuamua kukaa hapo na dada yake. Aliendeleza shughuli zake za uwindaji, hivyo wakinamama wa maeneo ya karibu walipokwenda kutafuta [[kuni]] [[Pori|porini]] ndipo walipokutana na mwindaji huyu hodari. Alikuwa akiwapa [[nyama]] alizowinda, hivyo akazoeleka na kuoa huko na kuanzisha familia yake na watu waliita eneo hilo Kwa Zulu. Kadiri ya hadithi hiyo, [[KwaZulu-Natal]] ya leo, asili yake ni Mzigua Zulu.
 
Pia mtoto akishazaliwa hukaa ndani na baada ya siku 40 hutolewa nje na kupewa jila la Lungo. Katika tukio hili la kumtoa mtoto nje, mtoto hupakwa unga na kunyolewa nywele zake za utotoni na bibi yake na mtoto ambaye mara nyingi huwa ni mama wa baba yake na mtoto.
 
Vyakula vya asili vinavyopendelewa kuliwa na wazigua ni ugali unaopikwa kutokana na unga wa mahindi yaliyokobolewa na kuvundikwa kwa muda mrefu kabla ya kusagwa au kutwangwa. Baada ya kysagwa hutoa unga mweupe na laini sana. Ugali huliwa na mboga za asili kama vile, Kungujulu, Sunga, Kididi, Mnavu, nyama za pori na uyoga.
 
== Tazama pia ==
{{Lango|Tanzania}}
* [[Orodha ya makabila ya Tanzania]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{Makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Zigula}}
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Tanga]]