Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 27:
 
{{mbegu-fasihi}}
aina nyingine za tamthiliya:
 
# Melodrama: hasa ni vichekesho. hizi nazo ni kinyume cha trejidia/tanzia. Mwisho/hatima ya mhusika huwa ni ushindi. Matokeo yake huwa ya kusisimua hasa kwa hadhira.
# Tamthilia chekeshi- Hizi hukusudiwa kuonyesha vituko vya kuchekesha. Ujenzi wa wahusika si muhimu, matukio hayawekewi sababu maalumu za kuridhisha. Msuko wake hauna utungamano mzuri. Tamthilia nyingi zenye mgongano wa lugha huwa chekeshi.
# Tamthiliya za kihistoria- mhusika anaibua matukio ya kihistoria; k.m. ''Rise and Fall of Idi Amin Dada.''
# Tamthiliya tatizo. Zinaangazia tatizo linalowakumba wanajamii wakati fulani, kwa mfano, ufisadi. Mifano ya tamthiliya hizi ni k.v Kigogo (Pauline Kea) na Mstahiki Meya (Timothy Arege)
 
[[Jamii:Tamthilia|*]]