Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 32:
# Tamthilia chekeshi- Hizi hukusudiwa kuonyesha vituko vya kuchekesha. Ujenzi wa wahusika si muhimu, matukio hayawekewi sababu maalumu za kuridhisha. Msuko wake hauna utungamano mzuri. Tamthilia nyingi zenye mgongano wa lugha huwa chekeshi.
# Tamthiliya za kihistoria- mhusika anaibua matukio ya kihistoria; k.m. ''Rise and Fall of Idi Amin Dada.''
# Tamthiliya tatizo. Zinaangazia tatizo linalowakumba wanajamii wakati fulani, kwa mfano, ufisadi. Mifano ya tamthiliya hizi ni k.v Kigogo (Pauline Kea) na Mstahiki Meya (Timothy Arege).
 
(Na Asumu Oliver, Chuo Kikuu cha Masinde Muliro, Kakamega, Kenya)
[[Jamii:Tamthilia|*]]
[[Jamii:Maigizo]]