Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
#[[Simboliki]] - huu unahusu [[fikra]] za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo si muhimu. Simboliki pia waweza kuitwa kwa jina la kitaalamu kama "expressionistic". Ni kuhusiana zaidi na waongozaji na watunzi wakiwa wanatoa fikra zao katika mchanganuo tofauti.
# [[Tamthiliya za kihistoria]] - mhusika anaibua matukio ya kihistoria; k.m. ''Rise and Fall of Idi Amin Dada.''
# [[Tamthiliya tatizo]] - zinaangazia tatizo linalowakumba wanajamii wakati fulani, kwa mfano, ufisadi. Mifano ya tamthiliya hizi ni k.v. Kigogo (Pauline Kea) na Mstahiki Meya (Timothy Arege).
 
'''==Mabadiliko na maendeleo ya tamthiliya''' za Kiswahili==
== Viungo vya nje ==
Kwa kutumia muundo wa [[Shakespeare]], waandishi waliandika tamthiliya kwa lugha ya [[Kiswahili]] na zilihusisha maswalamasuala ya Kiafrika. Wakati wa wakoloni[[ukoloni]], [[drama]] ilikuwa kwa ajili ya [[Wazungu]] na [[Waafrika]] wachache waliojua Kizungu. Baadaye, waandishi wazalendo waliotaka kuwasiliana na umma, iliwabidi watunge tamthiliya yao kwa lugha ya Kiswahili. Baadaye, lichelicha ya tamthiliya kuzingatia matumizi ya lugha ya Kiswahili, walianza kuzitazama, kuchunguza na kuzifanyia majaribio.
* [http://sounds.bl.uk/Arts-literature-and-performance/Theatre-Archive-Project Theatre Archive Project]
* [http://www.bris.ac.uk/theatrecollection/ Tamthilia toka Chuo Kikuu cha Britol]
* [https://www.youtube.com/watch?v=i0ZnDGPBgAA Video ya historia ya tamthilia ya Afrika Kusini]
 
Tamthiliya za awali, k.v. Wakati Ukuta na Heshima Yangu, hazikuwa na utohozi wa matumizi ya fani za sanaa za maonyesho ya jadi. Kuanzia mwishoni mwa [[miaka 60ya 1960]], na mwanzoni mwa [[miaka 70ya 1970]], tamthiliya zilianza kuonyesha mwelekeo mpya. Pia, [[falsafa]] na [[imani]] za Kiafrika kabla ya [[ubepari]] zilianza kudidimia kidogo.
{{mbegu-fasihi}}
'''Mabadiliko na maendeleo ya tamthiliya'''
 
==Historia ya tamthiliya za Kiswahili==
Kwa kutumia muundo wa Shakespeare, waandishi waliandika tamthiliya kwa lugha ya Kiswahili na zilihusisha maswala ya Kiafrika. Wakati wa wakoloni, drama ilikuwa kwa ajili ya Wazungu na Waafrika wachache waliojua Kizungu. Baadaye, waandishi wazalendo waliotaka kuwasiliana na umma, iliwabidi watunge tamthiliya yao kwa lugha ya Kiswahili. Baadaye, liche ya tamthiliya kuzingatia matumizi ya lugha ya Kiswahili, walianza kuzitazama, kuchunguza na kuzifanyia majaribio.
Syango na Mazrui (1992) walipanga historia ya tamthiliya za Kiswahili katika vipindi vinne:
 
===Tamthiliya za kwanza kuchapishwa zilikuwa kati ya miaka 1950-1960===
Tamthiliya za awali k.v. Wakati Ukuta na Heshima Yangu hazikuwa na utohozi wa matumizi ya fani za sanaa za maonyesho ya jadi. Kuanzia mwishoni mwa miaka 60, na mwanzoni mwa miaka 70, tamthiliya zilianza kuonyesha mwelekeo mpya. Pia, falsafa na imani za Kiafrika kabla ya ubepari zilianza kudidimia kidogo.
Baadhi ya tamthiliya hizo ni kama- vile: Nakupenda Lakini... (Henry Kuria, 1957), Afadhali Mchawi, na pia Mgeni Karibu (Graham Hyslop, 1957), Nimelogwa Nisiwe na Mpenzi (Ngugi 1961). Zilizungumzia maswalamasuala ya jamii chache zikiwa za [[upelelezi]]. TamthilyaTamthiliya zinginenyingine zilizungumzia maswalamasuala ya kutovunja sheria zikirejelea wageni wakoloni. Pia zilibainisha mgongano baina ya jamii za makabila tofauti tofautitofautitofauti. nyingiNyingi zilikuwa na lengo za burudani. Na piaPia ziliendelea kudunisha hadhi ya Waafrika hata ingawa ni za Kiswahili. Mwaka [[1960]] ndipo Little Theatres zilianzishwa kwa burudani kwaya Wazungu.
 
2. '''===Tamthiliya baada ya miaka 60'''1960===
'''Historia ya tamthiliya kwa mujibu wa Syango na Mazrui (1992)'''
Tamthiliya hizi zilijaa maudhui ya kimapenzi, migogoro ya kitamaduni, maudhui ya kikoloni. Tamthiliya hizi ni kama vile: Wakati Ukuta na Kwenye Ukingo wa Thim (Hussein Ibrahim), Pambo (Peninah Muhando), na Tazama Mbele (Kitsau Jay).
 
===Tamthiliya za mwishoni mwa miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970===
Hawa walipanga kazi ya historia ya tamthiliya katika makundi manne:
Maudhui yalikuwa: maswalamasuala ya ukoloni, historia ya Waafrika katika [[mapinduzi]], haki za wanyonge. Kwa mfano,: Mzalendo Kimathi (Ngugi), Mkwawa wa Hehe.
 
# '''===Tamthiliya za kwanza kuchapishwa zilikuwa kati ya miakakuanzia 50-60'''1970===
Zilikuwa na mwamko mpya. Zilichunguza jamii za Afrika Mashariki kwa mkondo mpya. Zilizungumzia: [[ukoloni mamboleo]], [[uongozi]], siasa na matatizo mengine kama vile [[ufisadi]], [[unyanyasaji]], uporaji n.k. Kwa mfano; Aliyeonja Pepo (Faruk Topan), Mashetani (Ibrahim Hussein), Kilio cha Haki (Alamin Mazrui).
 
== Viungo vya nje ==
Baadhi ya tamthiliya hizo ni kama- Nakupenda Lakini... (Henry Kuria, 1957), Afadhali Mchawi, na pia Mgeni Karibu (Graham Hyslop, 1957), Nimelogwa Nisiwe na Mpenzi (Ngugi 1961). Zilizungumzia maswala ya jamii chache zikiwa za upelelezi. Tamthilya zingine zilizungumzia maswala ya kutovunja sheria zikirejelea wageni wakoloni. Pia zilibainisha mgongano baina ya jamii za makabila tofauti tofauti. nyingi zilikuwa na lengo za burudani. Na pia ziliendelea kudunisha hadhi ya Waafrika hata ingawa ni za Kiswahili. Mwaka 1960 ndipo Little Theatres zilianzishwa kwa burudani kwa Wazungu.
* [http://sounds.bl.uk/Arts-literature-and-performance/Theatre-Archive-Project Theatre Archive Project]
* [http://www.bris.ac.uk/theatrecollection/ Tamthilia toka Chuo Kikuu cha Britol]
* [https://www.youtube.com/watch?v=i0ZnDGPBgAA Video ya historia ya tamthilia ya Afrika Kusini]
 
{{mbegu-fasihi}}
2. '''Tamthiliya baada ya miaka 60'''
 
Tamthiliya hizi zilijaa maudhui ya kimapenzi, migogoro ya kitamaduni, maudhui ya kikoloni. Tamthiliya hizi ni kama vile Wakati Ukuta na Kwenye Ukingo wa Thim (Hussein Ibrahim), Pambo (Peninah Muhando), na Tazama Mbele (Kitsau Jay).
 
3. T'''amthiliya za Mwisho wa 60 na mwanzo wa 70'''
 
Maudhui yalikuwa: maswala ya ukoloni, historia ya Waafrika katika mapinduzi, haki za wanyonge. Kwa mfano, Mzalendo Kimathi (Ngugi), Mkwawa wa Hehe.
 
4. '''Tamthiliya za 70 hadi sasa'''
 
Zilikuwa na mwamko mpya. Zilichunguza jamii za Afrika Mashariki kwa mkondo mpya. Zilizungumzia: ukoloni mamboleo, uongozi, siasa na matatizo mengine kama vile ufisadi, unyanyasaji, uporaji n.k. Kwa mfano; Aliyeonja Pepo (Faruk Topan), Mashetani (Ibrahim Hussein), Kilio cha Haki (Alamin Mazrui).
[[Jamii:Fasihi]]
[[Jamii:Tamthilia|*]]