Historia ya Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
cropped image (GlobalReplace v0.6.5)
Mstari 48:
 
== Utawala wa kikomunisti na Umoja wa Kisovyeti ==
[[Picha:Lenin and stalin crop.jpg|thumb|Lenin na Stalin, viongozi na watawala wa Urusi wa kikomunisti]]
Huo ulikuwa mwanzo wa [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]]. [[Wakomunisti]] chini ya Lenin walishinda na kugeuza Urusi kuwa [[Umoja wa Kisoveti]] tangu mwaka [[1922]], wakitawala kwa [[mfumo wa kiimla]] wa [[chama]] chao. Ili kurahisisha [[utawala]] wao Wakomunisti waliamua kutawala Urusi wa awali kwa muundo wa [[shirikisho]], wakaunda jamhuri mbalimbali kufuatana na ma[[taifa]] ndani ya eneo hilo kubwa.