Jennifer Bash : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jennifer Bash''' ni mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.Mwanamke huyu ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa '''AKTZ Industries Ltd''' inayojihus...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Jennifer Bash''' ni mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.Mwanamke huyu ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa '''AKTZ Industries Ltd''' inayojihusisha na utengenezaji wa vyakula vyenye chapa ya '''Alaska Tanzania'''<ref>http://www.thecitizen.co.tz/magazine/woman/Supporting-local-farmers/1843796-3183222-ajsmfd/index.html</ref>.Kutokana na jitihada zake katika ujasiriamali,alifanikiwa kuzawadia tunzo na kampuni ya utangazaji ya Clouds Media Group mwaka 2016 kama mwanamke aliyefanikiwa katika biashara ya kilimo.