Irene Sanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
IRENE SANGA
==Wasifu==
'''Irene Sanga''' ni mojawapo kati ya wasanii wa muziki nchini Tanzania alianza muziki baada ya kujiunga na kundi la sanaa liitwalo PARAPANDA ambalo liliundwa na wanamziki maarufu katika nyimbo zakuelimisha jamii kama msanii aitwaye '''Mrisho Mpoto''' alikuwa humu kwa miaka sita na baadae alikuwa kama mkurugenzi wa sanaa. Irene Sanga amekuwa akitoa mafunzo ya kuwafundisha wa Amerika ambao wamejitolea kujua kuhusu mambo ya afya na mazingira lengo la haya mafunzo ni kuwasaidia kutumia majukwaa ya jamii kama kutumia kwa maswala ya elimu. Mradi huo ulitoka kwa majeshi ya amani.
 
'''Irene Sanga''' ni mojawapo kati ya wasanii wa muziki nchini Tanzania aliyefahamika kwa utunzi wa wimbo wake uiitwao salamu kwa mjomba uliyo imbwa na [[Mrisho Mpoto]]<ref>https://globalpublishers.co.tz/irene-sanga-si</ref>
==Maisha yake yasanaa==
Amekuwa na vipaji mbalimbali katika saanaa kama uchezaji, uandishi , uimbaji, mwandishi wa maishairi,na msimuliaji wa hadithi .Amewahi kutengeneza filamu ambayo inaeleza asili ya mlima unayopatika Mkoa wa Morogoro, mlima huo unaitwa Kolelo hivyo basi aliipatia jina ya hiyo filamu kama Kolelo. Pia anakipaji cha uandishi ameandika kipindi maalumu cha watoto katika television kiitwacho kilimani Sesame pia katika uandishi wa filamu kuna filamu iitwayo chaguo ambayo ndiye yeye aliyeiandika ilikuwa inahusu kuchagua mpenzi mmoja katika mahusiano kwa kujikinga katika maambukizo ya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI.<ref>https://kampalainternationaltheatrefestival.com/irene-sanga/</ref>
 
== Mafunzo==
Amekuwa akihudhuria mafunzo ya muziki ndani na nje ya Tanzania kama ''KIFF (KENYA)’’, ''ZIFF (ZANZIBAR)’’<ref>http://www.ziff.or.tz/2013/06/14/workshop-participants-selected/</ref>
 
==Matamasha==
Irene amekuwa mmoja wawasanii wanaoshiriki matamasha mbalimbali kama muziki kama ''Kampala International Festival'' ''KIFF'' ,''ZIFF'' na mengine nje ya Tanzania
 
==Marejeo==
 
*[https://kampalainternationaltheatrefestival.com/irene-sanga/]
 
{{Mbegu-msanii-vipaji}}