Irene Sanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
'''Irene Sanga''' ni mojawapo kati ya wasanii wa muziki nchini Tanzania aliyefahamika kwa utunzi wa wimbo wake uiitwao salamu kwa mjomba uliyo imbwa na [[Mrisho Mpoto]]<ref>https://globalpublishers.co.tz/irene-sanga-si</ref>
==Maisha yake yasanaaya sanaa==
Amekuwa na vipaji mbalimbali katika saanaa kama uchezaji, uandishi , uimbaji, mwandishi wa maishairi,na msimuliaji wa hadithi .Amewahi kutengeneza filamu ambayo inaeleza asili ya mlima unayopatika Mkoa wa Morogoro, mlima huo unaitwa Kolelo hivyo basi aliipatia jina ya hiyo filamu kama Kolelo. Pia anakipaji cha uandishi ameandika kipindi maalumu cha watoto katika television kiitwacho kilimani Sesame pia katika uandishi wa filamu kuna filamu iitwayo chaguo ambayo ndiye yeye aliyeiandika ilikuwa inahusu kuchagua mpenzi mmoja katika mahusiano kwa kujikinga katika maambukizo ya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI.<ref>https://kampalainternationaltheatrefestival.com/irene-sanga/</ref>