Tofauti kati ya marekesbisho "Jennifer Bash"

33 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
'''Jennifer Bash''' ni mjasiriamali maarufu katika kilimo nchini Tanzania.Mwanamke huyu ni mwanzilishi wa kampuni inayoitwa '''AKTZ Industries Ltd''' inayojihusisha na utengenezaji wa vyakula vyenye chapa ya '''Alaska Tanzania'''<ref>http://www.thecitizen.co.tz/magazine/woman/Supporting-local-farmers/1843796-3183222-ajsmfd/index.html</ref>.Kutokana na jitihada zake katika ujasiriamali,alifanikiwa kuzawadia tunzotuzo na kampuni ya utangazaji ya Clouds Media Group mwaka 2016 kama mwanamke aliyefanikiwa katika biashara ya kilimo.
 
 
 
==marejeo==
[[Category: Wiki Loves Women Tanzania]][[Category: Wanawake wa Tanzania]]