Tofauti kati ya marekesbisho "Lilian Nabora"

4 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa [[Wanaharakati]] wanawake wenye ushawishi [[Tanzania]] na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.<ref>http://www.mwanaharakatimzalendo.co.tz/2017/07/waziri-dkt-mwakyembe-awa-mgeni-rasmi.html</ref>
==Wasifu==
Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya [[Temeke]] Jijini Dar es Salaam. Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botiswana huko Brussels, akifanya kazai kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya Ofisi .
Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti.
Lilian anaishi nchini Uberigiji[[Ubelgiji]]
==Harakati==
Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umasikini na ugonjwa wa UKIMWI. Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO).