Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 17:
 
::Naona umeleta makala ya mauzo dijitali. Maombi 2: 1) usisahau kuipanga katika Jamii. Hapa unatafakari kwanza inaingia jamii gani (hii: labda '''Jamii:Biashara'''). 2) uiwekee katika Interwiki yaani kuiunganisha na makala mengine kuhusu maada hii kwa lugha tofauti (kama yapo). Hapa unapeleleza kwanza ni makala gani inayolingana kwa Kiingereza (labda ulitumia makala ya Kiingereza na kutafsiri sehemu zake?). Halafu angalia upande wa kushoto chini kwenye desktop utaona "Lugha" na "Add links". Bofya '''Add links''' halafu unapata madirisha mawili; juu andika '''enwiki''' na thibitisha "English (enwiki)", chini yake andika jina la makala ya Kiingereza halafu thibitisha. Ukiwa na swali, uniulize. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:33, 10 Septemba 2018 (UTC)
 
Kwa Kipala
Asante sana kwa kunielekeza katika hili. Nitalifuata na nikiwa na tatizo nitaomba msaada