Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa"

no edit summary
No edit summary
Asante sana kwa kunielekeza katika hili. Nitalifuata na nikiwa na tatizo nitaomba msaada
:sawa, andika chini ya matini yote '''<nowiki>[[Jamii:Biashara]] </nowiki>''' - hapa usitumie visual editor. Ukijibu tia sahihi hapa ukurasa wa majadiliano (si katika makala!) kwa kutumia alama hizi mwishoni '''<nowiki>~~~~</nowiki>''' '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 08:49, 10 Septemba 2018 (UTC)
 
Asante. Nimelifanya hilo na ikaweka Jamii Biashara pale chini '''[[Mtumiaji:Hreflafa|Hreflafa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa#top|majadiliano]])''' 09:15, 10 Septemba 2018 (UTC)
199

edits