Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 71:
* Daimler-Benz na makampuni mengine yametengeneza magari yenye teknolojia mpya ya seli ya fueli inayotumia [[haidrojeni]][http://thomasnaef.info/convertible-car-seats/ .] Lakini hadi sasa nguvu yake haitoshi kwa magari ya kawaida. Utafiti unaendelea.
* hasa makampuni ya Japani yameshafaulu kutoa na kuuza magari chotara yanaounganisha injini ya umeme na injini ya petroli. Gari linaanza safari kwa nguvu ya beteri; beteri ikikwisha injini ya mafuta inawaka na kujaza betri.
 
== Ya kuangazia unaponunua motokaa ==
Haya ndiyo mambo ya kuangazi kabla ya kununua gari lako likiwa mpya au hata mzee.
 
'''Usiwe na pupa'''
 
Usiwe mwenye pupa wa kununua gari kabla ya kufanya utafiti wako ili ulijue gari lile nzuri kabisa na ambalo litadumu kwa muda mrefu. Ukifanya utafiti wako kwa mitandao, kwa vitabu au marafiki walio na lile gari basi utafanya uamuzi mwema wenye busara.
 
'''Jaribu kuliendesha gari'''
 
Ni vizuri kabla ya kununua gari uliendeshe kabla ya kununua. Hili huitwa test drive na muuzahi atakuruhusu kufanya hivi
 
'''Kuwa na makanika wako'''
 
Huenda ukalinunua gari lililozeeka na kwa maana wewe ni mgeni kwa kununua magari, ni vizuri uliangalie na makanika ambaye atakupa mawaidha.
 
'''Nunua gari utakalomudu'''
 
Ni vizuri uangalie gari ambalo wewe mwenyewe utalimudu isiwe kwamba ni gari na lahitaji mambo mengi yatakayokushinda.
 
'''Angalia bima ya gari'''
 
Gharama ya bima ni jambo lingine la kuangazia unaponunua gari.
 
'''Nambari ya usajilishaji'''
 
Serikali zahitaji kwamba kila gari liwe na nambari ya usajili. Nambari hii pia yaweza kukusaidia kujua uzee wa gari.
 
==Tanbihi==
Line 82 ⟶ 109:
* [https://www.wired.com/2012/02/autonomous-vehicle-history Historia ya magari yanayojiendesha yenyewe bila dereva]
* [https://www.wikihow.com/Take-Care-of-Your-Own-Car Jinsi ya kutunza gari lako]
*[https://www.kentekencheck.info/ Kentencheck.info]
* [https://www.pickup-world.com/how-to-set-up-car-lifts-routine-maintenance/ Moja ya teknolojia za kurepea magari]
* [https://auto.howstuffworks.com/flying-car.htm Kuhusu magari yanayoruka]