Motokaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 73:
 
== Ya kuangazia unaponunua motokaa ==
Haya ndiyo mambo ya kuangazi kabla ya kununua gari lako likiwa mpyajipya au hata mzeela zamani.
 
'''===Usiwe na pupa'''===
Usiwe mwenye pupa wa kununua gari kabla ya kufanya utafiti wako ili ulijue gari lile nzurizuri kabisa na ambalo litadumu kwa muda mrefu. Ukifanya utafiti wako kwa mitandao, kwa vitabu au marafiki walio na lile gari, basi utafanya uamuzi mwema wenye busara.
 
'''===Jaribu kuliendesha gari'''===
Usiwe mwenye pupa wa kununua gari kabla ya kufanya utafiti wako ili ulijue gari lile nzuri kabisa na ambalo litadumu kwa muda mrefu. Ukifanya utafiti wako kwa mitandao, kwa vitabu au marafiki walio na lile gari basi utafanya uamuzi mwema wenye busara.
Ni vizuri kabla ya kununuauliendeshe gari uliendeshe kabla ya kununuakulinunua. Hili huitwa kwa Kiingereza "test drive" na muuzahimuuzaji atakuruhusu kufanya hivi
 
'''===Kuwa na makanika wako'''===
'''Jaribu kuliendesha gari'''
Huenda ukalinunua gari lililozeeka na kwa maana wewe ni mgeni kwakatika kununua magari, ni vizuri uliangalie na makanika ambaye atakupa mawaidhamashauri.
 
'''===Nunua gari utakalomudu'''===
Ni vizuri kabla ya kununua gari uliendeshe kabla ya kununua. Hili huitwa test drive na muuzahi atakuruhusu kufanya hivi
Ni vizuri uangalie gari ambalo wewe mwenyewe utalimudu, isiwe kwamba ni gari na lahitajilinalohitaji mambo mengi yatakayokushinda.
 
'''Kuwa na makanika wako'''
 
Huenda ukalinunua gari lililozeeka na kwa maana wewe ni mgeni kwa kununua magari, ni vizuri uliangalie na makanika ambaye atakupa mawaidha.
 
'''Nunua gari utakalomudu'''
 
Ni vizuri uangalie gari ambalo wewe mwenyewe utalimudu isiwe kwamba ni gari na lahitaji mambo mengi yatakayokushinda.
 
'''Angalia bima ya gari'''
 
'''===Angalia bima ya gari'''===
Gharama ya bima ni jambo lingine la kuangazia unaponunua gari.
 
'''===Nambari ya usajilishaji'''usajili===
Serikali zahitaji kwamba kila gari liwe na nambari ya usajili. Nambari hii pia yaweza kukusaidia kujua uzeeumri wa gari.
 
Serikali zahitaji kwamba kila gari liwe na nambari ya usajili. Nambari hii pia yaweza kukusaidia kujua uzee wa gari.
 
==Tanbihi==