Tofauti kati ya marekesbisho "Elsie Kanza"

1,032 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Elsie Kanzakanza''' ni [[Mkurugenzi Mkuu]] wa Jukwaa la Uchumiuchumi wa Nchi za Afrika tangu mwaka 2014.kwa mjibu wa mtandao wa [[forbes]] alitajwa kama mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu afrika kwa mwaka 2011.<ref>httphttps://www.lionessesofafricaforbes.com/blogsites/2016faraigundan/52013/1806/quote17/meet-elsie-kanza-head-of-africa-at-the-dayworld-byeconomic-elsieforum-kanzaon-delivering-on-africas-promise/#1268ca9e7fcc</ref>.
==Tanbihi Maisha yake==
Kanza alizaliwa nchini Kenya,na wazazi wenye asili ya kitazania, akapata Elimu yake nchini [[Kenya]] na baadae kuendelea na masomo nchini [[Marekani]].Ameweza kupata nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa ni pamoja na kuwa Mshauri wa maswala ya kiuchumi wa aliyekuwa [[Rais]] wa Tanzania Mh[[ Jakaya Mrisho Kikwete]] kwa mwaka 2006-2011<ref>https://www.weforum.org/agenda/authors/elsiekanza/</ref>
{{reflist}}
 
{{mbegu-mtu}}
==Elimu yake==
Kwa kipindi cha mwaka 1997-2006, Elsie aliweza kupata shahada ya biashara na utawala wa kimataifa katika chuo kikuu cha United States International – Afrika, shahada ya uzamili ya sayansi ya fedha katika chuo cha Strathclyde na shahada ya uzamili katika Sanaa ya maendeleo ya kiuchumi katika chuo cha Williams cha nchini [[Marekani]]<ref>https://www.huffingtonpost.com/ebenezar-wikina/wef-africa-at-25-my-strol_b_8508140.html</ref>
 
==Marejeo==
 
[[Jamii:Wiki Loves Women Tanzania]]
[[Jamii:Wanawake wa Tanzania]]