Elsie Kanza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Elsie kanza''' ni Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la uchumi wa Nchi za Afrika tangu mwaka 2014.kwa mjibu wa mtandao wa [[forbes]] alitajwa kama mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu afrika kwa mwaka 2011.<ref>https://www.forbes.com/sites/faraigundan/2013/06/17/meet-elsie-kanza-head-of-africa-at-the-world-economic-forum-on-delivering-on-africas-promise/#1268ca9e7fcc</ref>
{| style="font-size:90%; width: 65%; padding: 3px; margin: 0 auto;" class=toccolours
|-
| [[Picha:People.svg|30px| ]]
|Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni '''mbegu'''. <br> Je, unajua kitu kuhusu '''{{FULLPAGENAME}}''' kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? <br />Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? <br />Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa [{{SERVER}}/w/index.php?stub&title={{FULLPAGENAMEE}}&action=edit kuihariri na kuongeza habari]''.
|}<includeonly>[[Jamii:Mbegu za watu]]</includeonly><noinclude>[[Jamii:Mbegu za watu| ]]
</noinclude><noinclude></noinclude>
== Maisha yake==
Kanza alizaliwa nchini Kenya,na wazazi wenye asili ya kitazania, akapata Elimu yake nchini [[Kenya]] na baadae kuendelea na masomo nchini [[Marekani]].Ameweza kupata nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa ni pamoja na kuwa Mshauri wa maswala ya kiuchumi wa aliyekuwa [[Rais]] wa Tanzania Mh[[ Jakaya Mrisho Kikwete]] kwa mwaka 2006-2011<ref>https://www.weforum.org/agenda/authors/elsiekanza/</ref>