Tofauti kati ya marekesbisho "Msumenonyororo"

no edit summary
=== Nyororo ===
Msumenonyororo huzungushwa na nyororo (chain) inayotumia injini au elektroniki ili ianze kazi. Inapozunguka nyororo hii, huweza kuvuta [[meno]] ambayo yanasaga mbao, barafu, mfupa au chochote kinachoelekezwa pale.
 
'''Msumeno'''
 
Msumenonyororo huwa na msumeno wenye meno makali ambayo hunolewa mara kwa mara ili kuyatia makali. Huenda msumeno huu ukavunjika na kwa hivyo inabidi kuubadilisha.
 
=== Chuma elekezi ===
 
== Kawi ya msumenonyororo ==
Msumenonyororo ni kati ya vifaa vinavyojulikana kwa Kiingereza kama "[https://powertoolbuzz.com/ power tools]" na hutumia kawi ya umeme, hewa iliyozuiliwa, upepo, maji yanayotiririka kama yale ya mto, injini za mvuke pamoja na kawi inayopatikana baada ya kuchoma fuwele.
 
== Aina ==
199

edits