Kupe (arakinida) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 27:
* ''[[Rhipicephalus]]'' <small></small>
}}
'''Kupe''' ni [[arithropodi]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Ixodidae]] katika [[ngeli]] [[Arachnida]] ([[arakinida]]). Hujiama kwenye [[mwili]] wa [[mnyama]] na kufyonza [[damu]] kama [[chakula]]. [[Spishi]] nyingi ni wasumbufu juu ya wanyama wafugwao na wanaweza kusambaza [[ugonjwa|magonjwa]]. Kwa kawaida kupe hujificha kwa nyasi au kwa udongo na hungojea wanyama kama ngombe au muzi ili amng'ate na kumnyonya damu. Kupe ni hatari sana maana huenda akawa ameyabeba magonjwa kama ule wa [[:simple:Lyme_disease|Lyme]].
 
{{mbegu-mdudu}}