Tofauti kati ya marekesbisho "Kisafishi ombwe"

59 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Vacuum cleaner.jpg|thumb|Kisafishi ombwe kilivyo.]]
'''Kisafishi ombwe''' (kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] [[:en:Vacuum_cleaner|vacuum cleaner]]) ni [[kifaa]] kinachofagia na kusafisha [[sakafu]], [[Mkeka|mikeka]] ([https://bestcarpetcleaningperth.com.au/ carpet cleaning])na [[Ukuta|kuta]] kwa kutumia [[teknolojia]] ya kwamba [[mata]] hairuhusu pahala pawe [[ombwe]].
 
Kisafishi ombwe hufanya hivi kwa kutumia [[pampu]] ya [[hewa]] ambayo hufanya pahala pawe ombwe na kwa njia hii kufyonya [[vumbi]] au [[takataka]] yoyote iliyokuwa pahala panaposafishwa. Huweza kufyonza takataka na hata [[unyevu]].
199

edits