Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Badiliko la jamii
Masahihisho
Mstari 31:
 
Mara kwa mara wafanyakazi wanawapatia majana kadhaa [[chakula]] fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa [[kumbikumbi]].
 
== Bidii na umoja ==
Mchwa wametumika katika hadithi nyingi za kitoto ili kufunza maadili ya bidii na umoja. Kwa kawaida, mchwa hukaa wote pamoja katika koloni.
 
Katika maandiko ya Biblia ya Kikristo katika kitabu cha Methali, wakristo wameombwa waige mchwa katika utendakazi na umoja. Mdudu huyu huishi kwa kushirikiana na kutangamana. Yeye halali kabla atafute chakula cha kutosha na cha kuweka akiba. Katika kitabu kitakatifu cha Waislamu cha Kurani, Sulayman alisikia mchwa akiwaonya wengine warudi nyumbani wasije wakapondwapondwa.
 
Mwandishi Aesop pia aliandika kuhusu bidii ya mchwa katika hadithi yake 'The Ant and the Grasshopper'.
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama kimelea anayewasumbuawasumbufu haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango ya nyumba]] na kuuma[[boriti|maboriti]] watuya [[nyumba]]. Kwa hiyo, watu wengi hutafuta madawa ya kuua wadudu [https://pestpolicy.com/best-fire-ant-killer-for-lawns/ ant killers]. Wanaofanya taaluma ya [https://bestpestcontrolperth.com.au/ pest control] kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
==Spishi kadhaa za Afrika==
Line 56 ⟶ 66:
Stolotermes ruficeps soldier.jpg|Termopsidae (''Stolotermes ruficeps'')
</gallery>
 
== Bidii na umoja ==
Mchwa wametumika katika hadithi nyingi za kitoto ili kufunza maadili ya bidii na umoja. Kwa kawaida, mchwa hukaa wote pamoja katika koloni.
 
Katika maandiko ya Biblia ya Kikristo katika kitabu cha Methali, wakristo wameombwa waige mchwa katika utendakazi na umoja. Mdudu huyu huishi kwa kushirikiana na kutangamana. Yeye halali kabla atafute chakula cha kutosha na cha kuweka akiba. Katika kitabu kitakatifu cha Waislamu cha Kurani, Sulayman alisikia mchwa akiwaonya wengine warudi nyumbani wasije wakapondwapondwa.
 
Mwandishi Aesop pia aliandika kuhusu bidii ya mchwa katika hadithi yake 'The Ant and the Grasshopper'.
 
== Usumbufu wa mchwa ==
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama kimelea anayewasumbua haswa anapoishi karibu na majengo ya watu. Mchwa hula mbao na kwa hiyo huharibu milango ya nyumba na kuuma watu. Kwa hiyo, watu wengi hutafuta [https://pestpolicy.com/best-fire-ant-killer-for-lawns/ ant killers]. Wanaofanya taaluma ya [https://bestpestcontrolperth.com.au/ pest control] kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili aweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.
 
== Viungo vya nje ==