Muharram : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza
No edit summary
Mstari 4:
Siku ya kwanza wa Muharram ni [[Mwaka Mpya]] wa Kiislamu.
 
[[Sikukuu]] ya [[AshurahAshura]] iko mnamo tar. 10 Muharram. Hasa Waislamu [[Washia]] hukumbuka kifo cha [[Hussein ibn Ali]] (mjukuu wa [[Mtume Muhammad]] anayeheshimiwa kama [[Imamu (Shia)|Imamu wa Washia]]) kwenye [[mapigano ya Kerbela]].
 
Kwa jumla Washia wanaangalia Muharram kama mwezi wa huzuni<ref>[https://imamswadiq.com/page/2/?s=Muharram Ibada za Mwezi wa Muharram], tovuti ya Kishia imamswadiq.com ya 2016, iliangaliwa Septemba 2018</ref> na katika mazingira penye Washia wengi kuna mikutano mingi ya kidini ambako historia ya Ashura na kifo cha Hussein inakumbukwa kuanzia siku ya kwanza hadi ya kumi ambayo ni Ashura.
 
Kati ya Wasunni siku ya Ashurah inatazamiwa kama siku ya [[saumu]] hasa.<ref>[http://www.alhidaaya.com/sw/node/2475 Fadhila Za Mwezi Wa Al-Muharram, Siku Ya 'Aashuraa Na Bid'ah Zake], mkusanyiko wa hadith kuhusu saumu ya Muharram, tovuti ya Kisunni ya alhidaaya.com, iliangaliwa Setemba 2018</ref>.