Susan Mashibe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
==Elimu yake==
'''Susan''' alipofikisha umri wa miaka 19 aliondoka nchini [[Tanzania]] kuelekea [[Marekani]]kusoma katika [[chuo]] cha [[Western Michigan]], na alipomaliza masomo yake alitunukiwa cheti cha '''FAA''' cha uhandisi na Urubani wa ndege.<ref>https://www.weforum.org/people/susan-mashibe</ref>
==Mafanikio yake==
'''Mashibe''' amekuwa ndiye mwanamke wa kwanza nchini [[Tanzania]] kutambulika na FAA kama mhandisi na rubani wa ndege.