Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 20:
==Wamuawiya, Waabbasi na Waosmani==
===[[Wamuawiya]]===
Muawiya kama jemadari ya Waislamu wa [[Dameski]] alikuwa khalifa mwaka [[661]] baada ya kifo cha Ali. Tangu Muawiya hakuna khalifa tena aliyechaguliwa; Muawiya alimteua mwanawe [[Yazid I|Yazid]] amfuate. Tangu siku zile cheo cha Khalifa kiliendela ama kwa mfuasi aliyeteuliwa na mwenye cheo au kilinyanganywa kwa njia ya kijeshi.
 
Wafuasi wa Muawiya waliendelea kutawala hadi [[750]] walipopinduliwa na wafuasi wa Abbas mjomba wa mtume Muhammad. Mmuawiya mmoja tu aliweza kukimbia hadi sehemu ya [[Hispania]] iliyotekwa na Waarabu alipopokelewa kwa heshima na kuanzisha [[Ukhalifa wa Wamuawiya wa Cordoba]] uliodumu katika Hispania hadi [[1031]].