Shaaban (mwezi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Shaaban''' (ar. شعبان sha‘bān) ni mwezi wa nane katika [[kalenda ya Kiislamu]]. Inafuata baada ya [[Rajabu (mwezi)|Rajabu]] ikifuatwa na [[Ramadan (mwezi)|Ramadan]].
 
Siku ya 15 ya Shaaban inajulikana kama "usiku wa kumbukumbu au Lailat al-bara'at<ref>G.E. von Grunebaum, ''Muhammadan Festivals'' (London: Curzon Press, 1976), pp. 53-54.</ref> However, observance of this day is disputed.<ref>{{cite web|url=http://islamqa.info/en/154850|title=Bid‘ah of Sha‘baan - islamqa.info|work=islamqa.info}}</ref> ambako Wislamu hukumbuka siku ambako Mtume Muhammad aliwaambia wasikilizaji wake ya kwamba malaika wa Alaah huandika kumbukumbu ya matendo yote ya kila mtu. Kuan Wailsmau wanaoamini ya kwamba usiku huu una baraka za pekee. Wengine hukaa usiku huu pamoja wakisoma Korani na kushiriki katika sala za pekee.