Uchapaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 114:
 
===Dereva za uchapaji===
Unapoweka printa kwa tarakilishi yako, huwa kwa kawaida waitishwa kuweka dereva za uchapaji ([httphttps://www.printerdrivers.net/ printer drivers]). Hizi ni programu ambazo zinakusaidia kuwasiliana na mashine ile. Kulingana na maelezo ya wikipedia ya kingereza, dereva za chapa (printer drivers) ni programu ambazo hugeuza data ili iwe kati hali au mfumo ambao printa ityaweza kupiga chapa bila ya tatizo lolote. Kazi ya dereva hizi ni kuwezesha tarakilishi kupiga chapa bila kuzingatia muundo wa printa yenyewe. Programu hizi huenda ukapewa wakati unanunua mashine yako ya printa au ukapata kwa wavuti za mitandao zinazoshughulika na mambo ya chapa.
 
==Tanbihi==