Washia Ithna ashari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Washia Ithna ashari''' (ing. ''Twelfer Shia'', pia '''Ithnaashari''') ni kundi kubwa kati ya Waislamu Washia. Wako wengi huko Iran, Irak na Lebanoni....'
 
Mstari 22:
 
Kati ya hao wanaheshimu hasa Ali na mwanawe Hussein aliyeuawa katika [[mapigano ya Karbala]].
 
Chuo Kikuu cha Al Azhar kiliwatambua kama madhhab halali kwa jina la "madhhab ya Jafar"<ref>[https://www.al-islam.org/shiite-encyclopedia-ahlul-bayt-dilp-team/al-azhar-verdict-on-shia Al-Azhar Verdict on the Shi’a], tovuti ya al-islam.org, ilitazamiwa Septemba 2018</ref>. Sehemu ya Wasunni wanawaangalia kama wazushi wasio Waislamu wa kweli.
 
==Jamii zao==