Washia Ithna ashari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 23:
Kati ya hao wanaheshimu hasa Ali na mwanawe Hussein aliyeuawa katika [[mapigano ya Karbala]].
 
Chuo Kikuu cha Al Azhar kiliwatambua kama madhhab halali kwa jina la "madhhab ya Jafar"<ref>[https://www.al-islam.org/shiite-encyclopedia-ahlul-bayt-dilp-team/al-azhar-verdict-on-shia Al-Azhar Verdict on the Shi’a], tovuti ya al-islam.org, ilitazamiwa Septemba 2018</ref>. Sehemu ya Wasunni hasa wanaofuata mafundisho ya [[Wahabiyya]] wanawaangalia kama wazushi wasio Waislamu wa kweli.
 
==Jamii zao==