Wikipedia:Makala kwa ufutaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 129:
==[[Hofu ya Jumapili]]==
hakuna maelezo ya lemma mle, hakuna vyanzo kuonyesha habari ni kweli, na Kiswahili chake kibaya. Ifutwe. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:52, 13 Septemba 2018 (UTC)
:Hofu ya Jumapili (Sunday Scaries) ni jambo lililo na umaarufu. Mengi yameandikwa kuhusu hisia hii katika wavuti kama [https://www.forbes.com/sites/karineldor/2018/08/05/sunday-scaries-got-you-down-the-founder-of-sunday-forever-wants-to-help/#5853649b6180 Forbes], [https://www.nbcnews.com/better/health/sunday-scaries-are-real-why-ncna783186 NBC news], [https://www.thisisinsider.com/are-the-sunday-scaries-real-how-to-get-over-them-2017-11 thisisinsider], [https://www.businessinsider.com/how-to-prevent-the-sunday-blues-and-feel-refreshed-before-the-workweek-2018-2?IR=T businessinsider] na [https://www.thriveglobal.com/stories/33309-say-goodbye-to-sunday-scaries Thrive Global] yote ambayo ni majalada yenye umaarufu '''[[Mtumiaji:Hreflafa|Hreflafa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa|majadiliano]])''' 11:13, 14 Septemba 2018 (UTC)
::Makala haina ushuhuda ya kwamba wataalamu wa saikolojia wameshafanya utafiti na kuthibitisha ya kwamba hii ni hali maalumu ya hofu. Sioni mapatano kuhusu ufafanuzi wa jambo lenyewe. Pia makala haisemi ni hofu ya nini. Kutoka makala siwezi kuona kama hii ni zaidi ya fesheni kati wa wanahabari na wanablogu huko Marekani. Tena makala inarudia matangazo ya kibiashara kuhusu athira za pipi hizi za cannabidiol gummy bears ambayo inaonyesha ya kwamba mada haijafanyiwa utafiti halisi.
::Nikipita kurasa za tovuti mbalimbali naona ufafanuzi tofauti kabisa: ama hofu ya Jumatatu (kwa Kiswahili si hofu ya Jumapili!) na masharti ya kazi baada ya wikendi bila kazi, au hali ya kujisikia vibaya baada ya siku 2 za ulevi mkali mtu anaona akiamka tena Jumapili alasiri au jioni. Makala yenyewe haielezi kitu bali kurudia vipande-vipande kutoka tovuti bila kuonyesha utafiti.
::Ingekuwa tofauti kama tungeona ushahidi wa makala za kitaalamu (au angalau tovuti inayorejelea utafiti wa kitaalamu, si tu sentensi fupi za wanasaikolojia waliohojiwa kuhusu hofu hii) pamoja na ufafanuzi unaoeleweka. Hatuna. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 12:41, 14 Septemba 2018 (UTC)