Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
Maandishi ya hofu ya Jumapili (Sunday Scaries) ni jambo lililo na umaarufu. Mengi yameandikwa kuhusu hisia hii katika wavuti kama Forbes, NBC news, thisisinsider, businessinsider na Thrive Global yote ambayo ni majalada yenye umaarufu. '''[[Mtumiaji:Hreflafa|Hreflafa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa#top|majadiliano]])''' 11:15, 14 Septemba 2018 (UTC)
::Makala haina chanzo kimoja kinachoeleza hali hii ni nini. Nikipitilia "google" napata maelezo tofauti sana. Inaonekana ni kitu kinachojadiliwa katika tovuto huko Marekani, lakini hii haiundi bado jambo. Karibu kuitetea kwenye ukurasa wa makala za ufutaji. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 13:14, 14 Septemba 2018 (UTC)