Tofauti kati ya marekesbisho "Ritifaa"

131 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Picha:Apostrophe.svg|thumb|Apostrofi au ritifaa]]
'''Ritifaa''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]];), pia '''apostrofi''' (kwa [[Kiingereza]]: "apostrophe", kutoka [[Kigiriki]] ἀποστροφή, apostrofee, "ondoleo") ni [[alama]] ya [[uakifishaji]] inayoandikwa '.
 
Umbo lake ni sawa na [[mkato]] lakini inakaa juu ya mstari.
 
Alama hiyo inaonyesha pengine kwamba [[herufi]] au [[silabi]] imeanguka au kupunguzwa, kwa mfano katika [[shairi]], lakini katika herufi "ng'" inatofautisha [[fonimu]] husika na nyingine inayofanana (ng).