Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
namna ya kutaja vyanzo |
No edit summary |
||
Mstari 8:
Kwa hiyo tutatumia mara nyingi vyanzo visivyo vya Kiswahili hasa Kiingereza. Ni sawa kunakili orodha ya vyanzo kutoka makala ya en:wikipedia. Kuna pia vyanzo vizuri vinavyopatikana mtandaoni.
===[[Tanbihi]] chini ya ukurasa===
Njia nyepesi kuonyesha chanzo cha habari ni [[tanbihi]] (''footnotes'') chini ya ukurasa. Hapa kuna alama [[Picha:Wikipedia-menyu-ref.png]] kwenye menyu ya uhariri.
Ukibofya hapa unapata dirisha la [[Picha:Wikipedia-menyu-ingiza marejeo.png|400px]]. <br />
|