Tanbihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
 
==Tanbihi katika wikipedia==
Tanbihi ni muhimu katika wikipedia kama marejeo na uthibitisho ya ukweli wa habari zilizopo. Zamani hii haikukaziwa sana lakini siku hizi ni lazima. Kila mchangiaji anatenda vema akiongeza vyanzo kwa njia ya tanbihi. Makala mpya zinazopakuliwa bila kutaja vyanzo ziko hatarini za kufutwa.<ref>[[Wikipedia:Mwongozo_(Kutaja_vyanzo)]]</ref>
 
Katika matini ya wikipedia alama hizi zinafanya tanbihi yaani maneno ya tanbihi huandikwa kati ya '''<nowiki><ref> (TANBIHI) </ref> </nowiki>'''.