Mlima Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
Habari kuhusu mlima zilifikishwa [[Ulaya]] mwaka [[1849]] na [[Ludwig Krapf]],<ref name="dutton" /> lakini [[jamii]] ya [[wanasayansi]] walibaki na wasiwasi kuhusu ripoti kuwa kulikuwa na [[theluji]] karibu na [[ikweta]].<ref>{{Cite book|url=http://archive.org/details/greatriftvalleyb00greg|title=The Great Rift Valley : being the narrative of a journey to Mount Kenya and Lake Baringo : with some account of the geology, natural history, anthropology and future prospects of British East Africa|last=Gregory|first=J. W. (John Walter)|date=1896|publisher=London : J. Murray|others=Smithsonian Libraries}}</ref> Uwepo wa Mlima Kenya ulithibitishwa mwaka [[1883]] na [[1887]]<ref name=":2">{{Cite book|url=http://archive.org/details/discoveryoflakes02hhne|title=Discovery of lakes Rudolf and Stefanie; a narrative of Count Samuel Teleki's exploring & hunting expedition in eastern equatorial Africa in 1887 & 1888|last=Höhnel|first=Ludwig|last2=Teleki|first2=Samuel|last3=Bell|first3=Nancy R. E. Meugens|date=1894|publisher=London, Longmans, Green and Co.|others=Smithsonian Libraries}}</ref>. Ulipandwa na [[timu]] iliyoongozwa na [[Halford John Mackinder]], mwaka [[1899]]<ref name=":3">{{Cite journal|last=Mackinder|first=H. J.|date=1900|title=A Journey to the Summit of Mount Kenya, British East Africa|url=http://www.jstor.org/stable/1774261|journal=The Geographical Journal|volume=15|issue=5|pages=453–476|doi=10.2307/1774261}}</ref>. Leo Mlima Kenya hupandwa na watalii na wanaopenda kupanda milima na [[miamba]].<ref name="map">{{cite map|publisher=EWP|title=Mount Kenya Map and Guide|url=http://www.ewpnet.com/Kenyamap.htm|edition=4th|year=2007|cartography=EWP|scale=1:50,000 with 1:25,000 inset|series=EWP Map Guides|isbn=9780906227961}}</ref>
 
[[Mfumo wa ikolojiaekolojia]] wa Mlima Kenya una aina tofauti za [[mimea]] na [[wanyama]].<ref name=":4">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/37843815|title=Kirinyaga : a fable of Utopia|last=D.|first=Resnick, Michael|date=1998|publisher=Ballantine Pub. Group|isbn=0345417011|edition=1st ed|location=New York|oclc=37843815}}</ref> Mteremko hufunikwa na aina tofauti ya [[misitu]]. [[Spishi]] [[asilia]] ni kama vile [[Mwanzi (nyasi)|mianzi]], [[tai]] na [[pimbi]].<ref name="ecology" /> Kwa sababu hii, eneo la [[km2|<abbr>km<sup>2</sup></abbr>]] 715 linalozunguka mlima ni [[Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya|hifadhi ya taifa]] <ref name="uicn">{{cite web|url=http://whc.unesco.org/archive/advisory_body_evaluation/800.pdf
 
 
Mstari 343:
| url = http://www.ambio.kva.se}}
 
</ref> Mfumo wa ikolojiaekolojia wa Mlima Kenya hupatia watu zaidi ya milioni 2 maji.<ref name="development" /> Wiani wa vijito ni kubwa hasa katika miteremko ambayo haijawahi kuwa na barafuto.<ref name="baker_map">{{cite map
 
 
Mstari 394:
 
{{cite map|publisher=Andrew Wielochowski and Mark Savage|title=Mt Kenya 1:50000 Map and Guide|edition=1|year=1991|cartography=West Col Productions|scale=1:50000 with 1:25000 inset|isbn=0-906227-39-9}}</ref>
===IkolojiaEkolojia===
Eneo la Mlima Kenya lina kanda tofauti za kiikolojiakiekolojia. Kila ukanda una sifa zake na spishi kuu ya mimea. Spishi nyingi zinazopatikana katika sehemu zilizo juu ya mlima zinapatikana pia katika maeneo mengine ya mlima na Afrika Mashariki.<ref name="ecology" />
 
Pia kuna tofauti kati ya kanda, kutegemea upande wa mlima na ukali wa mteremko. Kusini mashariki pa mlima ni sehemu nyevu kuliko kaskazini<ref name="glacierfluctuations" /> kwa hivyo, spishi nyingi za sehemu hiyo hutegemea unyevu kukua. Baadhi ya spishi, k.v. [[mianzi]], haziwezi kukua katika pande zote za mlima kwa sababu za tofauti za unyevu.<ref name="map" />
Mstari 583:
Wanyama wengi hukaa katika kitako cha mlima penye halianga nzuri kidogo. Spishi za nyani, pimbi wa mitini, ndovu, nungunungu, nyati, fisi, mbuni, duma na simba huishi hapo.<ref name="map" />  Wanyama mamalia wachache, k.v. ''Sylvicapra grimmia'' na pimbi wa miamba wanaweza kuishi katika miinuko ya juu kidogo.<ref name="senecio" /><ref name="ecology" />
 
Spishi za ndege, k.v. chozi, kwenzi, tai na tumbusi hupatikana katika ukanda wa alpi ya kiafrika. Ndege ni muhimu katika mfumo wa ikolojiaekolojia hiyo kwa kuwa wao husaidia katika mchavusho.<ref name="tropicalalpine">{{cite journal