}}</ref> Miteremko ya mashariki kaskazini hupata mvua kubwa zaidi kwa kuwa uko katika [[Upande wa upepo|upande wa pepo]] za [[matlaikusi]] ambazo huleta mvua kutoka [[Bahari ya Hindi|Bahari Hindi]]. Mvua hii huwezesha msitu uliosongamana katika upande huo. Katika miinuko ya juu, [[usimbishaji]] hufanyika kama theluji na kutengeneza barafuto.<ref name="spink">{{cite journal