Tofauti kati ya marekesbisho "Uislamu"

uislamu
(uislamu)
Wafuasi wa imani hiyo huitwa "Waislamu" na wanakadiriwa kuwa milioni 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili duniani yenye wafuasi wengi baada ya [[Ukristo]] mwenye wafuasi milioni 2,200.
 
Uislamu ni ile imani kuwa muumba ni mmoja tu kwa dhati na sifa zake. Nguzo nyingine za imani zinajengwa juu ya imani ya Mungu mmoja wa kweli. Imani juu ya maisha baada ya kifo, imani juu ya Malaika wa Mungu, vitabu vyake na kudra na tafsiri ya vitendo ya imani hii ni [[Sala|Swalah]],:'''Swalah [[Zakat|Zakah]], [[Saumu|Funga]] na [[Hija]].kilugha'''
 
Maombi,'''Swala kisheria'''
 
Ni kumuabudu Mwenyezi Mungu U kwa maneno na vitendo maalumu, vinavyoanzia kwa takbiri na vinavyomalizikia kwa kupiga salamu. [[Zakat|Zakah]]:'''Zaka kilugha.'''
 
Ni kukua kwa kitu na kuzidi.'''Zaka kisheria:'''
 
Ni kiwango maalumu cha mali kinachotolewa wakati maalumu ili kupewa watu maalumu. [[Saumu|Funga:'''Saumu Katika Lugha''']]
 
[[Saumu|Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani.'''Saumu Kisheria''']]
 
[[Saumu|Ni kufanya ibada kwa ajili ya Mwenyezi Mungu U kwa kujizuia kula, kunywa na kufanya tendo la ndoa kuanzia kutokeza kwa alfajiri hadi kutwa kwa Jua.]] na [[Hija]]:'''Hija kilugha'''
 
Kukusudia na kuelekea.'''Hijja kisheria'''
 
Ni kukusudia Makka katika kipindi maalumu ili kutekeleza ibada ya Hijja.
 
== Imani na kitabu chake ==
Ibada katika Uislamu ni vile vitendo ambavyo Muislamu anamfanyia Mwenyezi Mungu peke yake, kwani ibada yoyote haitakikani iwe na ushirikina ndani yake, na wakati itakapokuweko aina yoyote ya shirki basi ibada ile inakuwa haina maana wala thawabu wala ujira wowote, ni kazi ya bure.
 
Kwa hiyo, kila Muislamu anatakikana wakati anapofanya ibada yake afanye kwa ajili ya Mola wake aliyemuumba akampa kila aina ya [[neema]] na kumtukuza kuliko viumbe vingine vyovyote, kwa kumpa [[akili]], [[fahamu]] na [[elimu]].Nguzo zauislamu :(Umejengwa Uislamu kwa mambo matano: Kushuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake, na kusimamisha Swala (tano za kila siku), na kutoa Zaka, na kuhiji nyumba tukufu (Al-ka’abah – ilioko Makkah), na kufunga Mwezi wa Ramadhani) <small>[Imepokewa na Bukhari na Muslim.]</small>.
 
== Aina za ibada katika Uislamu ==