Tofauti kati ya marekesbisho "Uislamu"

no edit summary
'''Uislamu''' (kwa [[Kiarabu]]: الإسلام ''al-islam'') ni [[dini]] inayotokana na mafunzo ya [[Mtume]] [[Muhammad]].
 
Wafuasi wa [[imani]] hiyo huitwa "Waislamu" na wanakadiriwa kuwa [[milioni]] 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili [[duniani]] yenye wafuasi wengi baada ya [[Ukristo]] mwenyewenye wafuasi milioni 2,200.
 
Uislamu ni ile imani kuwa [[muumba]] ni mmoja tu kwa dhati na sifa zake. [[Nguzo]] nyingine za imani zinajengwa juu ya imani ya [[Mungu]] mmoja wa kweli., Imaniimani juu ya [[maisha]] baada ya [[kifo]], imani juu ya [[Malaika]] wa Mungu, [[vitabu]] vyake na [[kudra]] na tafsiri ya vitendo ya imani hii ni: [[Sala|Swalah]]:'''Swalah, kilugha'''[[Zakat|Zakah]], [[Saumu]] na [[Hija]].
 
NiSwala ni kumuabudu [[Mwenyezi Mungu U]] kwa maneno na vitendo maalumu, vinavyoanzia kwa [[takbiri]] na vinavyomalizikia kwa kupiga salamu. [[Zakat|Zakahsalamu]]:'''Zaka kilugha.'''
Maombi,'''Swala kisheria'''
 
NiZaka ni kiwango maalumu cha [[mali]] kinachotolewa wakati maalumu ili kupewakwa watu maalumu. [[Saumu|Funga:'''Saumu Katika Lugha''']]
Ni kumuabudu Mwenyezi Mungu U kwa maneno na vitendo maalumu, vinavyoanzia kwa takbiri na vinavyomalizikia kwa kupiga salamu. [[Zakat|Zakah]]:'''Zaka kilugha.'''
 
[[Saumu| ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani. Ni kufanya ibada kwa ajili ya Mwenyezi Mungu U kwa kujizuia kula, kunywa na kufanya [[tendo la ndoa]] kuanzia kutokeza kwa [[alfajiri]] hadi kutwa kwa Jua.]] na [[HijaJua]]:'''Hija kilugha'''.
Ni kukua kwa kitu na kuzidi.'''Zaka kisheria:'''
 
NiHija ni kukusudia na kuelekea [[Makka]] katika kipindi maalumu ili kutekeleza ibada ya Hijja.
Ni kiwango maalumu cha mali kinachotolewa wakati maalumu ili kupewa watu maalumu. [[Saumu|Funga:'''Saumu Katika Lugha''']]
 
[[Saumu|Ni kujizuia na kujiepusha kufanya jambo fulani.'''Saumu Kisheria''']]
 
[[Saumu|Ni kufanya ibada kwa ajili ya Mwenyezi Mungu U kwa kujizuia kula, kunywa na kufanya tendo la ndoa kuanzia kutokeza kwa alfajiri hadi kutwa kwa Jua.]] na [[Hija]]:'''Hija kilugha'''
 
Kukusudia na kuelekea.'''Hijja kisheria'''
 
Ni kukusudia Makka katika kipindi maalumu ili kutekeleza ibada ya Hijja.
 
== Imani na kitabu chake ==
 
== Mafunzo ya Uislamu ==
 
Uislamu unawafunza wafuasi wake mambo mengi yanayohusiana na maisha, ikiwa yale yanayohusu [[ibada]] kama Swala, Zakat, Saumu na Hija; ambazo pamoja na kauli ya [[Shahada]] ("Nakiri kwa moyo na kubaini kwa ulimi kwamba hakuna Mola apasaye Kuabudiwa kwa haki ila Allah na Muhammad ni Mtume wake") huitwa nguzo za Uislamu au yale yanayohusu maingiliano baina ya wanadamu, yakiwa maingiliano ya kijamii kama [[ndoa]] na [[talaka]] na [[ujirani mwema]], au ya kiuchumi kama [[biashara]], au ya kisiasa kama kawaida za kumchagua kiongozi wa [[dola]], au ya uhusiano baina ya mataifa mbali mbali ulimwenguni.
 
 
== Ibada katika Uislamu ==
 
Ibada katika Uislamu ni vile vitendo ambavyo Muislamu anamfanyia Mwenyezi Mungu peke yake, kwani ibada yoyote haitakikani iwe na ushirikina ndani yake, na wakati itakapokuweko aina yoyote ya shirki basi ibada ile inakuwa haina maana wala thawabu wala ujira wowote, ni kazi ya bure.
 
 
== Aina za ibada katika Uislamu ==
 
'''Nguzo tano za Uislamu:'''
Nguzo za Uislamu ni tano, na katika [[madhehebu]] ya [[Wasunni]] wanafundishwa jinsi inavyoonyeshwa hapo chini.
 
# ''[[Shahada]]'': (Kiarabu: الشهادة) Nguzo ya kwanza katika Uislamu hujumuisha kutoa kauli mbili: ''Hakuna Mola apasaye Kuabudiwa ila Allah na Muhammad ni Mtume wake''. Kauli hizo hutolewa pale mwanadamu anapoingia Uislamu.
# '' [[Salat]]'': (Kiarabu: صلاة‎) ni [[sala]] inayofuata utaratibu maalumu mara tano kila siku: Asubuhi, mchana, alasiri, jioni na usiku. Kabla ya kuingia katika ibada hii Mwislamu anapaswa kufanya [[wudhu]] ambayo ni tendo la kutakasa mwili kwa maji au -kama hakuna- kwa kutumia vumbi badala yake. Salat ina maneno yake na pia namna ya kusimama au kujinama. Salat hii ni tofauti na [[dua]] (دعاء) au sala ya kuomba kwa hiari.
# ''[[Zakat]]'': (Kiarabu: زكاة‎‎) Nguzo ya tatu ya Uislamu nayo ni ibada inayomuelekeza Mwislamu kuwaangalia Waislamu wenzake kwa hali na mali, na kushughulikia mahitaji yao ya maisha, kwa kutoa fungu la mali yake asilimia 2.5 kila mwaka kwa mwenye uwezo na kuwapa wale walio maskini na wasiojiweza ili nao waweze kuishi vizuri.
# Funga/[[Swaum]]: (Kiarabu: صوم) Wakati wa mwezi [[Ramadani]] kila Mwislamu anapaswa kufunga chakula na kinywaji chote kuanzia asubuhi hadi jioni. Watoto na wagonjwa hawapaswi kutekeleza wajibu huu. Waislamu wanaona maana ya ibada hii kumkurubisha Mwislamu na Mola wake na kumfanya amche na kumuogopa zaidi, kwani saumu humsaidia Mwislamu kufahamu shida na taabu ambazo wale wasiokuwa na uwezo wanazipata wakiwa na njaa na hawana cha kukila, na kwa hivyo, huingiwa na huruma na kuwa na moyo wa kutaka kuwasaidia na kuwaondoshea shida hizo.
# ''[[Hajj]]'' (Kar.Kiarabu: الحجّ ''alhajj''): Kila Mwislamu mwenye uwezo anatakiwa kwenda hijja [[Maka]] mara moja katika maisha yake wakati wa mwezi Dhul-Hija. Nguzo hii inawapa fursa Waislamu ulimwenguni kukutana na wenzao na kujua hali zao na kupata nafasi ya kuomba maghfira na msamaha kwa madhambi yao katika mkutano mkubwa kabisa wa wanadamu ulimwenguni.
 
== Maingiliano katika Uislamu ==
* [http://mawaidha.info/ tovuti ya Uislam] - Mawaidha
*https://www.al-feqh.com/sw/ tovuti ya feqh ya ibaada
{{mbegu-dini}}
[[Jamii:Uislamu]]