76,351
edits
(Adding image) |
|||
[[File:Kilometre definition.svg|thumb|Ufafanuzi wa awali wa kilomita]]
'''Kilomita''' (pia: '''kilometa''') ni [[kipimo]] cha [[urefu]]. Kinamaanisha urefu wa [[mita]] 1,000. [[Kifupi]] chake ni km.
Kilomita ni kipimo
Kilomita ni sehemu ya vipimo vya [[SI]] vyenye msingi wa [[mita]].
Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama [[maili]] au [[verst]].
Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya [[astronomia]] kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya [[mwezi]] na [[dunia]] inaweza kutajwa kwa kilomita ni [[lakhi]] [[tatu]] au 300,000 km. Lakini umbali kutoka [[jua]] letu hadi [[nyota]] ya jirani [[Alpha Centauri]] ni
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]
|