Tofauti kati ya marekesbisho "Kinasasauti"

108 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
'''Kinasasauti''' (kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]]: [[:en:Microphone|microphone]]) ni [[kifaa]] kinachoweza kuichukua [[sauti]] na kuibadili ili iwe [[ishara]] za [[umeme]] (electrical signals).
 
Kinasasauti hutumika katika [[simu]], vifaa vinavyosaidia [[watu]] walio na shida za kusikia, pamoja na vifaa vya kuhadhiri kwa watu wengi katika [[jukwaa]] na [[ukumbi]]. Unapoongea kwa kinasasauti, ile sauti hufanywa kubwa na baadaye kusikika kwa [[kipaza sauti]]. Kinasasauti pia hupatikana katika [[studio]] za kurekodi [[muziki]] ambapo mtu hukitumia na ile sauti huhifadhiwa kwa [[tarakilishi]] na baadaye kuhaririwa ili muziki utolewe. Kwa leo, hili ni jambo la kawaida haswa kwa wale wanaotengeneza [[video]] za [[youtube]] ili sauti yao iwe ya kuvutia na kusikika kwa urahisi kwani unaweza kutafuta [http://wadesound.com/microphones/best-microphones-youtube/ microphones for youtube]
 
== Historia ya kinasasauti ==
199

edits