Tofauti kati ya marekesbisho "Sauti"

256 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 197.248.93.137 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni)
Tag: Rollback
* ndani ya gimba la [[chuma]] sauti inasafiri mita 5160 kwa sekunde, hivyo takriban kilomita 300 kila dakika (kama bomba au pau ndefu vile ya chuma ipo)
* ni rahisi kukadiria [[umbali]] wa [[radi]]. Tunajua ya kwamba sauti inasafiri hewani umbali wa kilomita 1 katika muda wa takriban sekunde 3 (taz. juu). Kwa hiyo wakati wa kuona umeme wa radi tunahesabu polepole 1-2-3-4 hadi kusikia sauti. [[Namba]] tunayofikia tunaigawa kwa 3 halafu tunajua radi hii ilikuwa na umbali wa kilomita ngapi.
 
Kwa wanaorekodi nyimbo kuna vifaa vinavyoitwa kompresa ambavyo kazi yake ni kuidhibiti sauti ili irekodiwe ikiwa nzuri. Waweza kuziona hizi katika wovuti zinazoangalia [http://wadesound.com/compressors/best-compressor-vocals/ best compressors for vocals]
 
==Sauti na marudio==
199

edits