Kumbikumbi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 2:
'''Kumbikumbi''' ni [[mchwa]] wenye [[bawa|mabawa]] wanaotoka kwa [[kichuguu|vichuguu]] wakati wa [[majira ya mvua]]. Mchwa hawa ni majike na madume waliokomaa na wakiruka wanapandana. Kwa sababu kumbikumbi wa vichuguu vingi vya mahali pamoja hutoka pamoja wanaweza kuchagua mwenzi kutoka kichuguu kisicho chao. Halafu kila jozi inachimba kishimo na kuzaa na kuanzia kichuguu kipya.
 
Lakini [[asilimia]] ndogo tu ya kumbikumbi huishi ili kuzaa. Wengi sana huliwa na [[mbuai]] kama vile [[ndege (mnyama)|ndege]], [[popo]], [[nguchiro]] n.k. Hata watu huwala kwa sababu kumbikumbi wana [[mafuta]] mengi ndani ya [[mwili|miili]] yao. Kumbikumbi huweza kumalizwa na watu wa [https://bestpestcontrolsydney.com.au/ pest control]
 
== Viungo vya Nje ==