Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Picha''' zinapendezesha. Si mapambo tu kwa ajili ya makala zinasaidia pia kuelewa jambo vizuri zaidi linajojadiliwa katika makala. Ukurasa huu unakusaidia kuchagua na kuingiza picha katika makala.
 
Ujue ya kwamba tunatumia pekee picha kutoka [[:commons:Main_Page|Wikimedia Commons]]. Ni marufuku kutumia picha "kutoka intaneti", google au social media.
 
==Viungo vya picha==