Tofauti kati ya marekesbisho "Waluguru"

158 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya Mtongori (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Magdalena William)
No edit summary
Waluguru wa milimani ni [[mhanga|wahanga]] wa [[simulizi|masimulizi]] ya "[[mumiani]]" kiasi kwamba mpaka sasa huweza kuwahusisha wageni na hao "mumiani".
 
KatikaKama mfumo wa[[Wazaramo]], [[familia|kifamiliaWakaguru]], Waluguru[[Wakutu]] hufuatana [[ukooWakwere]], wakabila hilo linafuata [[mamamfumojike]] yaani (kwa [[Kiingereza]] <nowiki>''</nowiki>matrilinearematrilinear<nowiki>''</nowiki>) yaani [[ukoo]] wa [[mama]] ndio unaoongoza [[familia]] na [[watoto]] wote wanahesabiwa kuwa wa ukoo huo. Hata hivyo, [[mtoto]] wa Kiluguru huitwa [[jina]] la [[ukoo]] wa [[baba]] yake, ambao ndio ukoo wa [[bibi]] mzaa baba. Yaani: Waluguru wana 'mtala' na ukoo. Mtala ni jina la ukoo wa baba ambalo ndilo analoitwa mtoto. Kwa mfano: mtoto akiitwa 'Kobero' jina hili ni mtala, si jina la ukoo wake, kwani 'Kobero' ni jina analopewa mtoto ambaye baba yake ni 'Mmadze'. Hali kadhalika, mtoto akiitwa 'Mkude' jina hili ni mtala wa ukoo wa 'Wamwenda', lakini si jina la ukoo wa mtoto. Hivyo basi, kwa Waluguru baba hutoa jina na mama hutoa ukoo: jina ni la ukoo wa baba, na ukoo ni wa mama!
Waluguru wanapenda kuishi pamoja na kushirikiana. Pia hupenda kunywa [[pombe]] na kushiriki kwenye [[sherehe]] za kimila.