Rupia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Rupie robo DOA 1913.JPG‎|thumb|200px|Robo rupie ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani ("Deutsch Ostafrika")]]
'''Rupia''' ni [[jina]] la [[pesa]] inayotumika leo huko [[India]] na katika nchi mbalimbali za [[Asia]].

Ni pia jina la pesa iliyowahi kutumika [[Afrika ya Mashariki]] na nchi mbalimbali.
 
== Jina na historia ==
[[Neno]] "rupia" limetokana na [[lugha]] ya kihindi[[Kihindi]] yacha kale "rūp" au "rūpā" linalomaanisha "fedha". Katika lugha ya [[Sanskrit]] "rupyakam" (रूप्यकम्) inamaanisha [[sarafu]] ya [[fedha]]. Hii ni [[asili]] ya "Rūpaya" iliyotumika katika India kama sarafu yenye [[gramu]] 178 za fedha tangu 1540mwaka [[1540]]. Rupia moja ilikuwa na 16 Anna 16, 64 Paisa 64 au 192 Pai 192.
 
== Pesa ya kisasa ==
Line 16 ⟶ 18:
 
== Pesa ya kihistoria ==
Rupia ilikuwa kihistoria pesa ya nchi na maeneo yafuatayo:
 
* [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] (DOA) kwa jina la "rupie"
* [[Afrika ya Mashariki ya Kiingereza]]
* [[Zanzibar]]
* Kwenye eneo la [[India]] ya leo katika ma[[koloni]] zaya nchi zifuatazo: [[Denmark]], [[Ufaransa]] na [[Ureno]], pia katika madola mbalimbali ya Kihindi kabla ya [[ukoloni]] na kabla ya [[uhuru]] kama vile [[Hyderabad]].
* Katika nchi jirani za India kama vile [[Bhutan]], [[Burma]], [[Sri Lanka]], [[Afghanistan]]
* Katika maeneo ya [[Ghuba ya Uajemi]]
* [[Somalia]] ya Kiitalia]]
* huko [[Indonesia]] wakati wa [[uvamizi]] wa [[Japan]] ([[1940]]-[[1945]])
 
 
==Picha==
<gallery>
Image:Rupie 1 DOA 1893 mbele.JPG‎|Rupie 1 ya [[Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]], mbele (maandishi: ''Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft - Eine Rupie'' = Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki - Rupia moja)