Hamira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dry yeast.jpg|thumb|right|Hamira kavu katika [[umbo]] linalopatikana kwa kawaida madukani.]]
'''Hamira''' ni [[dawa]] ya ungaunga au chengachenga inayowekwa kwenye [[unga]] uliokandwa ili uvimbe au uwe mchachu na hatimaye [[chakula]] kama [[mkate]], [[pizza]]<ref>{{Cite web|url=http://fixmypizza.com/|title=Best Pizza Ovens of 2018: Don't make the same mistakes {{!}} Fix My Pizza|language=en-US|work=Fix My Pizza|accessdate=2018-09-23}}</ref>, [[andazi]], [[kitumbua]] n.k. kipendeze zaidi. Pia hutumiwa katika mchakato wa kuchachusha [[wanga]] kuwa [[pombe|vinywaji vya pombe]] kama [[bia]]. Kumbe [[divai]] haihitaji kuongeza hamira katika majimaji yaliyokamuliwa katika [[zabibu]].
 
Line 13 ⟶ 14:
==Marejeo==
{{references}}
{{mbegu-biolojia}}
[[jamii:Vidubini]]
[[Jamii:Chakula]]