Sadaka : Tofauti kati ya masahihisho

656 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
kuhusu sadaka
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 42 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q179723 (translate me)
kuhusu sadaka
Mstari 1:
[[File:MarcusAureliusSacrificeRelief.jpg|thumb|230px|[[Marcus Aurelius]] na wanafamilia wake wakitoa sadaka ya [[shukrani]] kwa kushinda [[Wagermanik]]: jinsi ilivyochongwa wakati huo katika [[marumaru]], [[Roma]], [[Italia]].]]
'''Sadaka''' ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu [[Mungu]] na kujiombea [[fadhili]] fulani toka kwake.Umuhimu wa sadaka katika uislamu:
Zaka ni faradhi katika faradhi za Dini ya Kislamu, na ni nguzo ya tatu katika nguzo za Uislamu, Anasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Na simamisheni swala na toeni zaka} (Suratu An-Nur: 56),
 
Na akasema Mtume ﷺ: (Umejengwa Uislamu kwa mambo matano: Kushuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni mja wake na ni Mtume wake, na kusimamisha Swala (tano za kila siku), na kutoa Zaka, na kuhiji nyumba tukufu (Al-ka’abah – ilioko Makkah), na kufunga Mwezi wa Ramadhani) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.].
 
==Kafara==
Line 19 ⟶ 22:
* {{cite book|last=Carter|first=Jeffrey|year=2003|title=Understanding Religious Sacrifice|publisher=Continuum|isbn=0-8264-4880-1}}
* {{cite book|last=Hubert|first=Henri|coauthors=Marcel Mauss|title=Sacrifice: Its Nature and Function|publisher=U of Chicago Press(reprint, orig 1898)|year=1981|isbn=0-226-35679-5}}
*https://www.al-feqh.com/sw/zaaka-hukumu-yake-na-masharti-yake
 
==Tanbihi==
{{Marejeo}}
Anonymous user