Nsunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
→‎Marejeo: Takwimu za Kata Nsunga, 2018
Mstari 1:
'''Nsunga''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Missenyi]] katika [[Mkoa wa Kagera]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''35316''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/tzPostcodeList.pdf</ref>. WakatiBaadhi waya sensaVijiji iliyofanyikakatika mwakakata wahii 2012,ni kata ilikuwapamoja na wakazi wapatao 19,001 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council]</ref>
 
* Igayaza
* Ngando
* Omurugando
* Byamutemba
 
Watu wanaoishi katika kata hii wanajihusisha na kilimo cha ndizi, mboga mboga, na ufugaji. Nsunga ni kata inayokuwa kwa kasi, na uchumi wake unaotegemea kilimo cha kahawa na mbogamboga unakwamua watu wengi katika umaskini. Ni Kata ambamo ndani yake kuna kiwanda cha sukari cha Kagera Sugar, ambapo wakazi wa kata hii pia hujihusisha na kilimo cha miwa.
 
Kata hii pia imekuwa na umaarufu kwa kuwa na ukanda wenye kutuama maji, ambapo nyakati za kiangazi hutumika katika kuzalisha mboga za majani na matunda. Maeneo haya ni pamoja na Kyarukorongo, Kigwanga na Gelegele, ambako mboga nyingi huzalishwa, na hasa katika mkoa Kagera. Wakulima hawa hutegemea soko kuu la Bunazi, lililoko wilaya ya Missenyi.
 
Kata hii pia ina milima mingi ambayo ilitumika kwa umuhimu zaidi katika vita ya Kagera (1978-79)
 
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,001 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council]</ref>
 
Tarehe 10 Septemba 2016 Nsunga ilikuwa mahali pa kitovu cha [[tetemeko la ardhi la Kagera 2016]].