Antoine de Saint-Exupery : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Antoine de Saint-Exupéry kwenye mwaka 1942 '''Antoine de Saint-Exupery''' (* 29 Juni 1900 mjini Lyon;...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Antoine de Saint-Exupéry.jpg|thumb|Antoine de Saint-Exupéry kwenye mwaka 1942]]
'''Antoine de Saint-Exupery''' (* [[29 Juni]] [[1900]] [[Mji|mjini]] [[Lyon]]; † [[31 Julai]] [[1944]]) alikuwa [[rubani]], [[mwandishi]] na [[mshairi]] kutoka nchini [[Ufaransa]].
 
==Miaka ya kwanza==
Alizaliwa katika [[familia]] [[tajiri]] ya Ufaransa ya [[kusini]]. Alipokuwa na [[umri]] wa miaka 12 alipata mara ya kwanza nafasi ya kuwa [[abiria]] katika [[Ndege (uanahewa)|ndege]] ndogo iliyoruka. Baada ya kutumia miaka kadhaa kusoma [[ubunifu]] na kutimiza utumishi wa kijeshi wa kisheria alichukua [[cheti]] cha rubani akaajiriwa na [[Kampuni|makampuni]] ya [[usafiri wa hewani]] na kuongoza ndege za mizigo na abiria.
 
==Rubani na mwandishi==
Pamoja na kuruka alianza pia kuandika [[hadithi]] na [[masimulizi]]. Sehemu ya miaka yake ya urubani alifanya katika [[koloni|makoloni]] zaya Ufaransa [[Bara|barani]] [[Afrika]] alipokaa miaka kadhaa kwenye vituo vya [[Jangwa|jangwani]]. Wakati ule alitunga [[riwaya]] yake ya kwanza "Tarishi wa kusini" (''Courier de Sud'') inayosimulia [[safari]] ya mwisho wa rubani fulani pamoja na hadithi ya mapenzi yake yasiyofikia shabaha.
 
[[Mwaka]] [[1929]] alitumwa [[Argentina]] kuanzisha pale huduma ya utarishi wa [[usiku]] ambako marubani walisafirisha [[barua]], [[magazeti]] na mizigo ya haraka wakati wa usiku. Hatari na maarifa ya miaka ile alitumia kwakatika riwaya ya "Kuruka kwa usiku" (Vol de nuit, 1930) aliyopata [[tuzo]] muhimu na kumfanya kwakuwa mwandishi mashuhuri.
[[Picha:Sahara Crash -1935- copyright free in Egypt 3634 StEx 1 -cropped.jpg|thumb|Saint-Exupery mwaka [[1935]] baada ya kuanguka na ndege yake katika jangwa la [[Misri]].]]
Katika miaka iliyofuata alichanganya kazi mbalimbali kama rubani, [[mwanahabari]] kwa magazeti mashuhuri, mwandishi na mtangazaji wa [[bidhaa]] kwa ajili ya makampuni kadhaa. Mwaka 1938 alianguka kwa ndege yake nchini [[Guatemala]] akajeruhiwa. Katika miezi ya [[matibabu]] na kupona alitunga [[kitabu cha]] "Dunia ya binadamu" (Terres des Hommes) alipokusanya matini mbalimbali na mkusanyiko huu ulikuwa na ufanisi mkubwa: alipata tuzo ya "''Grand Prix du Roman de l’Académie française''" na kuuzwa mara nyingi.
 
==Miaka ya vita na Mwana Mdogo wa Mfalme==
Wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] alitoka katika Ufaransa iliyovamiwa na [[Ujerumani]] akakaa kwa muda pale [[Marekani]]. Hapo alitunga simulizi lililokuwa ufanisi wake mkuu "[[Mwana Mdogo wa Mfalme]]" ''(Le Petit Prince)''. Kwa namna ya [[hekaya]] ni hadithi ya rubani anayepaswa kufanya kituo cha dharura jangwani anapokutana na [[mvulana]] mdogo (mwana mdogo wa [[mfalme]]) kutoka [[asteroidi]] kwenye [[anga la nje]]. Hekaya hii imetafsiriwa kwa [[lugha]] zaidi ya 140 na ni kati ya vitabu vilivyotolewa mara nyingunyingi zaidi [[duniani]].
 
==Mwisho wake==
Baada ya kukimaliza kijitabu hiki alirudi [[Ulaya]] alipojiunga na [[jeshi]] la [[Ufaransa Huru]] lililopiganialililopigana na Ujerumani likiwa pamoja na Wamarekani walioingia [[Ulaya Kusini]] kutoka [[Afrika ya Kaskazini]].
[[Picha:Gourmette de Saint Exupery.jpg|thumb|KikikuKikuku cha Saint-Exupery ilyopatikanailiyopatikana mwaka 1988.]]
Mwaka [[1944]] aliruka juu ya mji wa [[Marseille]] kwa kusudi la [[upelelezi]] kutoka [[anga]] na kutoka safari hii hakurudi. Baadaye imejulikana ya kwamba ndege yake ilipigwa na kuangushwa na ndege ya Kijerumani.
 
Mwaka [[1988]] [[mvuvi]] Mfaransa alikuta kikuku chenye [[jina]] lake wakati wa kusafisha [[nyavu]]. Baadaye pia [[injini]] ya ndege yake ilipatikana [[Maji|majini]] karibu na [[ufuko]].
 
Mwaka [[1975]] [[asteroidi]] 2578 ilipewa jina la Saint-Exupéry na tangu mwaka [[2000]] Kiwanja cha Ndege cha Lyon kinaitwa kwa jina lake.
 
==Vitabu vyake kwa Kiswahili==
* [[Mwana Mdogo wa Mfalme]] (Mkuki wa Nyota, Dar es Salaam 2020)
 
==Vitabu vyake kwa Kiingereza==
* ''[[:en:The Aviator (short story)|The Aviator]]''
Line 35 ⟶ 36:
* ''[[:en:A Sense of Life]]''
 
{{mbegu-mwandishi}}
 
 
[[jamii:Washairi wa Ufaransa]]